Nani anaelewa kuhusu wowzi app? Kwa app Kuna pesa ya kubuy kredo. Chenye unafanya ni kupewa gigs unapost kwa social handles yako after few days unatumiwa doo.