
Nani ashakutana na online wholesalers wenye tamaa, wanakuuzia day one na Bei ya wholesale, wewe unabuy unabahatika kuuza 3 times the buying price, unaeka Kwa status, huyo wholesaler ana view, ukirudi kubuy hio item Tena unaona price imeincrease maybe it was 500 now he tells you it's 1500. So una deal na yeye aje? Mwanzo kama ushachukua orders?
0
0
0