Naomba kuchanuliwa kuhusu online jobs please juu given situation yangu kwa sasa I think if guided well and given enough info itakuwa convenient kwangu.