Naomba mniokolee.Nlimaliza college last year, na cna dooh ya kuanzisha biz na plus nilifanya diploma in civil engineering. Nasaka job inaeza pay bills na nisave kiasi, I'm stranded, please mniokolee.