
NAONA JULY IMEAMUA KUINGIA AUGUST na hii baridi healthy living and eating inaeza kuokolea Sana, so Kama football fans what can you do?? Nikona few tips and feel free Ju add more:
- Morning OR evening jog.
- Ku eat fluid food kama porridge, bone soup and coffee inasaidia Sana kukeep the body warm.
- Kuenda grao And Play football na mabeshte just to increase the adrenaline and enhance the heat.
- Put football fans Hii ndio time poa ya gig, enda grao uuze kahawa, mandazi, chai na njugu they make more Doo than you think... What else can we do??? #Mesh #Tujengane


0
0
0