
Naona ukifuata hivi vigezo unaeza pata mbinu ya kuprice bidhaa zako
Aina ya Bidhaa: Ni bidhaa gani unazouza?
Bei ya Kununua: Ulinunua bidhaa hizo kwa bei gani?
Gharama : Kuna gharama za usafirishaji, kodi, au gharama zingine za uendeshaji?
Faida Unayotaka: Unalenga faida ya asilimia ngapi kwenye kila bidhaa?
0
0
0