
Napenda biz yangu ya kuuza asali! nimekua kwa hii biz for 2 years now, nlianza ju I needed more money to sustain my bills as a part time comrade. What keeps me going ni customer wangu, together with Mesh nimeweza kupata gigs na contracts from hotels, cafe na pia individual clients. What I love most about this business ni positive feedback kutoka Kwa buyers.. To promote me text or call @ +254 71789 1502, 1kg jar ni bob pekee Pia nauza mtumba na viatu za wathi!
0
0
0