
Napenda food sana,kupika that is, nataka ni open ka kibanda pale mtaani ikuwa watu wanaweza pata food na below one dollar na ni food legit, shida ni ninechorwa na nadai niki open ikuwe ni mimi napiga shugli ya kupika solo juu nikiwacha msee atatoa venye nadai.. Location yangu ni kisumu, kuna mtu amejiamini.
0
0
0