
Napenda kusaidia sana,,that's why me and my crew tuliamua kuanza street feeding na si about food pekee,but pia kuwavalisha,na kuwapeleka shule wenye wanataka kuendelea na masomo.tumerecommend wengi kwa children's home na wengine kwa rehabilitation centres,,and most of them wamegain sana na hii program...but shida tuko nayo ni kuraise funds za kutosheleza hao watoi,coz wanakuanga wengi sana and most of the time tumekua tukichanga sisi wenyewe ndo tubuy hizo staffs,if only tungepata support ya kutuinua ndo tusikue na shida ya funds sana then mradi itaendelea vipoa sana.
0
0
0