Napenda vile hawa watoi wa mtaa ya Kangemi wanapata chakula kila sato..Ebu jitolee kila sato kukam kujienjoy na wao