Napendaga kupika, Nilikua na biz ya catering pale tao maybe wengi wenu mnanijua, pandemic nayo, corona ilikam, wasee na mastudeh wakaacha kutokea juu ma wira na machuo zilitingwa na ivyo ndio kahustle kangu kaligenya.
0