Nasaka kazi any around karatina town Kama kuna mwenye amesikia ama ako nayo anaeza nisaidia nikuwe independent. Much appreciated