
Nashindwa kama government inajua wan nchi Wana fadhaika kwa ground. Kwa hii Cyber ndogo Nina license ya 10000 ya Council, Music copiright pia wants license, film classification board pia wanataka license, fire insurance pia unataka license. Tunaeza fanya nini Mesh na wassup?
0
0
0