
Naskia Kwa finance bill inatolea this year hakutakuana data protection, for example wen it comes to earnings, everybody will be able to access how much money someone is making without their concent. Hata ukifanya deals zako za pesa kra itakua inaona....mnaonaje hii meshers
0
0
0