
Natafuta msee tunaeza partner na yeye tufuge kuku wa mayai, nikona place ya kujenga nyumba ya kuku na mtu wa kuzinga for free. Kama kuna msee akona idea ka iyo anisake 0727974360 tupange. Ama msee anaeza nijenga loan ya starting capital ama anadai partnership... Nimenotice uku kwetu kuna shortage ya mayai coz hakunanga suppliers
0
0
0