Natafuta pahali naweza get loan ya business expansion ndio niweze ku employ another person na pia niweze ku expand biz yangu ya dial a delivery