Nataka kuandika mtu kwa biz yangu juu nafungua posho mill ingine loan itanihelp kubuy ni equipment na at least kulipa my worker the first month kabla biz ishike