Nataka kuanza a small food business. Nime identify a spot. Kibandaski style ndio naanza nayo.... wenye wako food biz, essentials za kuanza ni? Alafu capital ilikua?