
Nataka kuanza biz ya kuuza manguo,nilikua nimeanza but nilistop sababu ya kukosa platforms na ma customers kununua,I hope this platform itasupport hustle yangu juu saa hii kupata job ni ngumu,pia kama Kuna mtu anaezakuwa na job ya cyber or any front office jobs or customer service kindly reach out to me,I am readily available.
0
0
0