Nataka kuanza biz ya kuuza melon na pineapple lakini kubeba hio ndoo naaibika. Naogopa watu nilikua nao shule kuniona