Nataka kuanza bizna ya kuuza sweatpants na track suits naomba mnichanue na mniambie hizo bales huuzwa aje ju nataka kufanya pia in wholesale