
Nataka kuanza bizz ya kuuza jewellery and accessories zake. Any advice venye naweza zipata na wholesale na ni places gani hizo nitapata na wholesale huku Nairobi, plus any challenges na hii biz pia unaweza share, na any other tips na hiii bizz?
#tujijenge
0
0
0