
Nataka muongezee kwa hii list ways in which to save stima mkiwa home. Nowadays KPLC wanatuona war hapo kwa tokens. Nimeanza na hizi 3, lets go...
- Zima Tv na speakers from main switch ju ukizima na remote hua zinanyonya stima zikiwa in standby mode...
- Tumia LED lights(energy savers) sio fluorescent bulbs
- Zima stima ukitoka room

0
0
0