Natamani sana kuanzisha biashara yangu ila nimeshindwa kupata capital. Nimejaribu kutafuta ata loan to no avail. Please advise