Natamani sana kuwa na cyber one day, nilikuwa tu narequest kama mtu anaezajitolea anifunze vitu kadhaa kuhusu cyber nitamfanyia kazi for free ndivo nipate experience. Niko Thika