
Natengeza podcast...still gathering equipment, podcast inaitwa thecupofteenshow 🎙️withREGY, ni ya vijanaa na kubanja na life in general, support yenyu itanijenga vinoma sana ,looking forward to djboyie akue guest wangu when everything is good, recorded talks zitakuwa IG ,Twitter,Mesh na YouTube@tcotswithregy

0
0
0