natumiwa message naambiwa tumia mwalimu pesa ya calc. weh mimi nikadhani ni bro wangu so nikakol shule kuulizia ndipo nikajua kumbe ni cornmen. wenye mko na ndugu ama watoto shuleni kaa rada.