
Navas Herbert hapa. Vile Covid ilihit hard ilibidi sasa nifocus na online shop yangu pale Jumia.Nafurahi sana kuchangamka kuexpand biz in all dimensions so vile Corona iliingia atleast I had an option.
Haikuwa rahisi pia Considering I was bringing my products from a different country so I risked Hyping the price too high ( But definitely hio ndio form ha business 😅) unacheza tu na #SUPPLY and #DEMAND
Demand was High that time (2020) and supply was low! Generally clients wangu wa (STC30) time ya Corona walikuwa bigfishes so atleast I could manage bringing products through the lockdown Bora tu upatiane "chai" 😁
Program ya MESH Ni amazing sana. Asanteni Sana Admins for this opportunities you giving us. Priceless ideas mazee. Youths hapa ndani please try your best executing what you learn hapa ndani ya MESH , Kuna hata hustle unaezaanza na as low as 3k changamkeni wadau.
Am also going to start my first physical business soon, preparing finances and also checking market can't wait to share testimonies here.
#SisiNiMesh #Tujijenge