
Naweza Anza biashara ya mayai ya kienyeji ju sai mayai ya kienyeji haipatikani so nikiongezea kuku 15 na izo zote zikue miera ju jogoo nko nayo na miera 3 so ntakua na miera 18 ju ni 15+3=18, hizi 15 nta buy each 500 so ikuwe 7500 then remaining 2500 Kwa 10k nizinunulie chakula 💪 Kwa kuku 18 let's say kuku 10 ziwe zinataga kila siku that means ntakua nauza mayai everyday 200 ju mayai ni 20 Bob , faida tupuu
0
0
0