Naweza deal vipi na challenge kama ya kifo ama wakati mtu anapoteza Mpendwa wake? Nauliza kwa sababu mimi nimegogwa mbaya sana na Kifo cha Babangu juzi.... Depression, next move, financial problem etc...
0