
Naweza shika trolley second hand ya 5k. Ninunue stock ya mayai na smokey ya 2k, nishike pako ya tropicals since sio kila mtu anapenda after taste ya mayai. Ninunue serviettes na smokey dust coat Moja mbichi ya white alafu nitafute stage Moja busy nianze shugli yangu safi najua itasell bora usafi.

0
0
0