Ndio huyu mimi hapa, na mboka ni ya kupiga picha na kurecord mavida. Hii line ya kazi si rahisi. But despite kuwa kazi yangu bado ni passion yangu📷📸