
Ndio ile siku ya international holiday yenye iko commonly associated na commemoration of the achievements ya wasee wako works. Ni vipi biz yako u recognize hii day ama wewe uko janta kama kawa. Na wale wasee u do works pamoja wewe uwapea ka off ama hapana Tambua. Otherwise Happy Labour Day 2022 to all MESHers!. #LabourDay2022 #SisiNiMESH

0
0
0