
Ndio kuendeleza wera na story ya steel bindning hapa. Plus hio ndio tool inatumikanga kubind most of them hua D 16 juu ya uzito na durability other wise chuma zimetumika ni D8 na D 12 . Kwaida hii skill huhitajika in every construction site saa majama I remind you ni skill fiti sana ya kua nayo It will definitely get you paid as long as unafanya kazi safi utakua recommend na wase .


0
0
0