Ndio nimeanza biz yangu ya kuuza clads za mtush niko na baze safi ....nataka kuwa naziuza mpaka onlyn but sina clients.... Naeza do aje....? 🤗