
Ndio nmerealise sai kila MTU anatumia type C ,,,Jana kwaploti nmetafuta type B charger wasee ni either nikona charger ya iPhone ama type C ni mmoja Tu aliniambia maybe atafute kwa nyumba but hayuko sure 😂😂.So why do you think hawa Engineers wameamua kushift to Type C

0
0
0