
Ndiyo ukuwe successful kwa biz lazima ujue biz unataka kufanya ndiyo utafute pesa ... Kutafuta pesa Kwanza ndiyo unafikiria biz ya kufanya hukuwa disastrous ... Sana unaweza end up kuwa frustrated alafu morale pia huisha pia juu unapata saa zingine uko na pesa less ... Advantage kufikiria biz ya kufanya kabla ukuwe pesa ni kwamba unaweza Anza pole ukiendelea kusaka pesa ya ku support biz ikuwe biggy ... Nayo utakuwa motivated na itakuwa successful ... Juu utaichukulia kama mtoi wako lazima akule Kila siku no matter what #tujengane..
Fan biggy wa Manchester united I love you all..
0
0
0