
Ndoto zetu program π―π
Hi, meshers kama umekuwa na dream ya kuanzisha biz , project ama mradi Fulani home more like a community based project, vile unaeza empower wasee kwa mtaa yako ama uwa-educate ama u-provide service essential kwao safaricom wanakupea chance ya kubring your dream to life with full funding on the project πͺ
https://www.safaricomfounda...
Deadline for application ni 11th august π―secure you dream meshers, good luck π₯π₯
0
0
0