Nduthi FC 😂 hii ni yenu:
Michael Olunga atacheza na ex-Chelsea football star Hakim Ziyech in Qatar.
Hakim Ziyech ametoka Galatasaray ku-join Al Duhail.