Nduthi Kulture
Hii biz ya kuchora pikipiki ina wenyewe. Wanalipisha 10,000 and above kwa pikipiki moja. Airbrush na rangi ndio hutumika. Wakati mwingine vinyl stickers pia hutumika na hudesigniwa na plotter machine. Creativity is key.

0