
Neil Shem (Neil Shem Design's), ni design guru anaplay game yake safi… MESHers, cheki design zake kwa hii site yetu ya kujengana(MESH App)…Uta-nice! Nway, Neil, alienza ku-focus on understanding what each customer wants, and made sure products zake zina-align na preferences zao.
Na hapa ndio ana-set boundaries, Mesh Fam. Neil alisema, “Serious clients hu-ask serious questions, wanataka kujua location yako, na wako willing kulipa deposit.” Kama client haskii hiyo form, Neil anajua huyo si mteja wake.

0
0
0