
NEW FEATURES!!
As proud power Mesher, and the ever growing community yetu ya mesh, ni great feeling kuona growth ya platform yetu. Like vile leo can see kumekuwa na new features kadhaa added to web based mesh. Yenye imecapture my attention ni, referral link under the new invite your friends, a feature yenye itasaidia wale meshers wamekuwa na great experience kuweza kuinvite hadi ma beste ile watujoin as our #community inaendele ku grow.
#NewMeshUpdates #NewFeatures

0
0
0