
NEW FEATURES!
MESH ina-get better. Sasa unaeza connect na other members na ku-build networks na wasee across the country by simply selecting my My Network then Discover options.
Pia vile mli-request Direct Messaging (DM) option iko now available unaeza chat msee privately.
Hizi features zitafanya tukue more visible na discoverable so tuchangamke ku-update profiles zetu zikue more presentable ndio tu-unlock ma-opportunities.
Tuzidi ku-MESH
0
0
0