
NEW PLAYER ALERT.
kuna a New Harambee Stars player Called Jonah Ayunga. Ameishi Majuu miaka yake yote na amechezea team za championship but sai anachezea St. Mirren ya league one. Amechezea Kenya under 23 side but sai ameitwa kwa team kubwa. Mnafikiria it's a nice move ama???
#MeshFOOTBALL #TUJENGANE




0
0
0