
New week na vitu ni fiti kwa line up! MbogiTruu mko ready? Ku-celebrate Mashujaa day 🇰🇪 kuna special edition ya Shujaaz comic ina-drop hii wiki on 19th. Wai copy yako ndani ya Saturday Nation. Pia unaeza enda kwa distributor ako karibu na wewe ku-get copy yako. Tutakuwa tuna-run competition kureward 20 lucky fans. Instructions ni simple
- You must follow our pages to be eligible to win i.e ShujaazKenya
- Post and tag us on story about shujaa in your life (tuta reshare)
- Use #ShujaazSpecialComic

0
0
0