
New week new ideas,,,,
1.bei ya bread ππππ iko juu,, did you know that ukiwa na hii banana π na portion kiasi ya corn flour unaweza make mkate yako ya breakfast π₯π€π€ 2.mix flour na hio banana to form a dough,, then wrap π―π― into sizeable portions 3.weka kwa sufuria then add some 2 to 3 cups of water 3.cook to water completion,,, already uko na mkate ya breakfast π₯π₯
#form ni kuchanuanaπͺπͺ

0
0
0