
New Week!! šš New Opportunities! As we start the week š„š„ Cheki hizi Top 3 Marketing Tips every #MESHer should know šŖšæ
ā© Communication. Marketing ni all about #Communications, vile utabonga na customers wako ni kila kitu kwa #Biz. ā© Adaptability. #Market hu-change every day. Hakikisha ume-keep up na trends to be at the top of your game. ā© Attention to detail. Kama mse wa #Biz, lazima ujue all details kwa advertisements.
Share na sisi points zako kwa #Comments
#MondayMotivation

0
0
0