
New week, new opportunities! Kuna exciting news hapa. Ukiona MTVshuga na Shujaaz pamoja jua mambo ni💥💥Kuna open audition ya casting pale University of Nairobi( main campus) from 11th hadi 13th hii October. Kama unajua uko na talent ya ku-act hii ni chance yako.Usikose hii opportunity. #MTVshugaMashariki.


0
0
0