
New week, new vibes, leo tuko na one of our own. @[Jemutai Chibambe] ako na experience kwa entertainment industry na leo anatuchapia journey yake 💯 Swali kali sana; Madem hupitia #Challenges gani kwa #Biz? Share your thoughts.
New #MESHers karibu sana to the best #Community in #EastAfrica
#LiveNaJemutai #MESHMentors
0
0
0