
Ni about that time of the year, na imekua a tough year for some of us na ni time ya ku-take advantage ya holiday season ku-help ku-boost biz yako! Cheki hizi few tips shared by MESHers on how to make money this holiday season and make sure biz yako ina-thrive!!
1️⃣ Stock Up. Make sure ume-stock up a little extra kwa inventory yako. Michael Joseph anadai ata-stock up stuff popular za krisy alafu ata-offer free delivery au gift wrapping. Hii period, wasee wa biz hu-make a lot more sales so make sure supply ina-meet anticipated demand.
2️⃣ Create Theme. Eunice Alouch ana-suggest u-create a special holiday theme especially kama biz yako iko online. Hii ita-attract online shoppers wengi but pia u-combine hii na deals, discounts na ukiweza giveaways.
3️⃣ Cross-Sell. Hii ni ku-suggest items zita-go with products ama services customers wako wana-purchase. During the holiday season, unaweza cross-sell a lot of items! Cynthia Wanjiru ana-suggest example; kama wewe ni hairdresser, unaweza cross-sell shampoo na conditioner or kama unafanya biz ya ku-sell jewelry, customer aki-buy earrings unaweza suggest anunue matching necklace.
4️⃣ Referral Discounts. Brian Mwangi ana-believe referrals ni a successful strategy na ina-work poa sana during holidays. Encourage customers ku-refer products zako na wata-get special holiday discount. Brayo anadai hii ita-help ku-grow sales zako na hai-cost much, na the best part of all ni customers wata-promote biz yako.
Kama ukona more tips za ku-share na community, share alafu tuchapiane kwa comments #FormNiKujengana 💪🏽
